RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea
Nchini Djibout kwa ziara ya kiserikali.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Serikali na Wazee wa
CCM uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya
Kiserikali ya siku tatu .
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar, kabla ya kuaza safari yake Nchini Djibout kwa ziara ya
kiserikali.
(Picha na Ikulu)




0 Comments