Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Wataalam wa kujitolea kutoka
Japani waliokuja kutoa huduma nchini wakati wa hafla fupi ya kuwakaribisha
Wataalam hao iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi leo.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi
ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa
katika picha ya pamoja na Wataalam wa kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa
huduma nchini.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akizungumza na Mwakilishi Mkuu wa Shirika
la Kimataifa la Maendeleo Japani (JICA) nchini, Bw. Toshio Nagase mara baada ya hafla fupi ya kuwakaribisha Wataalam wa
kujitolea kutoka Japani waliokuja kutoa huduma nchini.



0 Comments