Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga
akiongea na vijana wanaoishi katika kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na
Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children
Villages) ambapo aliwataka kutumia fursa waliyoipata na kuendeleza shughuli za
ujasiriamali,Jana Mkoani Arusha.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee
na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa pili kutoka
kulia) akiwasikiliza vijana katika kijiji kijiji cha Watoto kinachosimamiwa na
Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS Children
Villages) wakiwasilisha mada juu ya shughuli wanazozifanya.
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Mtoto
Bi.Margaret Mussai akiongea na vijana wanaoishi katika kijiji cha Watoto
kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na
elimu (SOS Children Villages) na kuwaeleza namna bora ya uwasilishaji wa mada,
jana Mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa kijiji cha Watoto kinachosimamiwa
na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu (SOS
Children Villages) Bw. Francis Msollo akiongea na vijana wakati Katibu Mkuu
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya
Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga alipowatembelea kijijini hapo.
Katibu Mkuu Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya
Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akitembelea maeneo mbalimbali katika kijiji cha Watoto
kinachosimamiwa na Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na
elimu (SOS Children Villages) na kujionea shughuli zinazofanywa na vijana katika
kijiji hicho.
0 Comments