Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NBC ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa
Benki hiyo, Ndg. Nehemia Mchechu (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Bodi, Dkt.
Kassim Hussein (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ndg.
Edward Marks (kulia) uliotembelea leo
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (Kushoto)akimsikiliza
Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya NBC, Ndg. Nehemia Mchechu (wa pili kushoto)
akizungumza katika ugeni kutoka Benki ya NBC uliomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma, anaefuata ni Mkurugenzi wa Bodi, Dkt.
Kassim Hussein (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Ndg.
Edward Marks (kulia).
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)

0 Comments