Mwenyekiti wa Bunge, Mhe. Mussa A. Zungu
akifafanua jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge
la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za
Bunge, ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao
kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya
Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mary Nagu akizungumza jambo katika semina ya
pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na
Makamu Wenyeviti wa kamati za kudumu za Bunge, ikilenga
kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika kikao kilichofanyika leo
katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu
za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akizungumza jambo wakati wa semina ya pamoja iliyoandaliwa
na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa
kamati za kudumu za Bunge, ikilenga kubadilishana uzoefu wa kiutendaji wa kazi, katika
kikao kilichofanyika leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Mwenyekiti wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Upendo peneza akizungumza wakati wa semina
ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wabunge
Vijana wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika
leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Mjumbe wa Wabunge Vijana wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Abdallah Ulega akifafanua jambo wakati wa semina
ya pamoja iliyoandaliwa na Wabunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya dhidi ya Wabunge
Vijana wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao kilichofanyika
leo katika Hoteli ya Dodoma Mjini.
Wageni wa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
ambao ni Wanafunzi wa Shule ya Sekondari kongwa wakitembelea maeneo Mbalimbali
ya Viwanja vya Bunge leo baada ya kuhudhuria Kikao cha 22 Mkutano wa 7 wa Bunge la 11 unaoendelea
Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)





0 Comments