Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Suleiman jafo katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza kikao
cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13,
2017.
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia akisoma
Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake leo katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya huduma na
Maendeleo ya Jamii Mhe.Hussein Bashe akisoma Taarifa ya Kamati hiyo kuhusu
utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani KIkwete akizungumza
jambo na wabunge wenzie katika kikao cha
Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13,
2017.
Mbunge wa Hanang’ Mhe.Mary Nagu akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum
Mhe.Martha Umbulla katika kikao cha
Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13,
2017.
Naibu Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashitu Kijaji akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba
Mhe.Juma Nkamia katika kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 13, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA







0 Comments