Mwenyekiti wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akisoma dua ya kuliombea
Bunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 31, 2017.
Naibu Waziri wa Nishati na
Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akiwasilisha Randama za Makadirio na Matumizi ya
Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha 38 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 31, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe katika kikao cha 38
cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Mhe.George Masaju akifuatilia jambo kutoka kwa Naibu Waziri
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk.Suzan Kolimba
katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 31, 2017.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe
akimskiliza Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha 38 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Naibu Waziri wa
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Waziri wa Viwanda, Biashara
na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Waziri wa Kilimo, Mifugo na
Uvuvi Mhe.Dk Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali
katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31,
2017.
Mbunge wa Arumeru
Mashariki(CHADEMA) Mhe.Joshua Nassari akifurahi jambo na Mbunge wa
Momba(CHADEMA) Mhe.David Silinde katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum
(CHADEMA) Mhe.Catherine Ruge akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Mbunge wa Iramba
Mashariki(CCM) Mhe.Allan Kiula akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
















0 Comments