Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao
cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3,
2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha kumi na sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii
,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha kumi na sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee
na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza
swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Bagamoyo(CCM) Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Wabunge wa Chama cha Demokarasia na
Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Eng.Ramo
Makani akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha kumi na sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Oliver Semuguruka akiuliza swali
kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi,Vijana na Ajira wakifurahia jambo
katika kikao cha kumi na sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO











0 Comments