Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Balozi Lou Youqing
(kulia) kabla ya kuanza ziara ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo
wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akitembelea
shule ya msingi ya Ibwaga, shule aliyosoma wakati wa ziara yake ya kukagua
miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. wa
pili kushoto, ni Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili
kulia) akiongozana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou
Youqing wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo
wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Banyibanyi wakati wa ziara yake
ya kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa
Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua miradi
mbali mbali ya maendeleo iliyopo wilaya ya kongwa Mkoa wa Dodoma. kulia ni
Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Lou Youqing na kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya kongwa, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)




0 Comments