Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza alipokuwa mgeni rasmi
katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la
Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty Regency,
Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakiwasili
katika Hotel ya Hyatty Kilimanjaro
alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki ya Biashara
Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akisalimiana na Mkuu wa Idara ya
Huduma Binafsi wa Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania), Bw.
Julius Ngonyani alipowasili katika Hotel
ya Hyatty Regency, Kilimanjaro alipokuwa
mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Benki hiyo Tawi la Tanzania
(CBA Tanzania) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA
Tanzania, Gift Shoko.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala pamoja na Mke wake wakipata
huduma ya chakula alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya Iftar iliyoandaliwa na
Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) leo Jijini Dar es
Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya Kamal Steel, Bw. Gupta (kushoto) walipokutana katika hafla ya Iftar
iliyoandaliwa na Benki ya Biashara Afrika Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika
katika Hotel ya Hyatty Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA Tanzania, Gift Shoko.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiteta jambo na mmoja wa wadau
wa Benki ya Biashara Afrika (CBA) wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa na
Benki hiyo Tawi la Tanzania (CBA Tanzania) iliyofanyika katika Hotel ya Hyatty
Regency, Kilimanjaro leo Jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
menejimenti ya Benki ya CBA mara baada ya kumaliza hafla ya Iftar iliyoandaliwa
na Benki ya hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CBA
Tanzania, Gift Shoko.
Picha na: Frank Shija - MAELEZO







0 Comments