Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed maarufu
Gabo Zigamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini
Dar es Salaam, kulia ni Afisa Mawasiliano wa Kampuni ya Sarafu Media Bw.
Myovela Mfwaisa.
Msanii wa Filamu nchini Salim Ahmed
maarufu Gabo Zigamba (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu yake fupi ya Kisogo mapema hii leo jijini
Dar es Salaam, katikati ni Afisa Habari wa Kampuni ya Sarafu Media Bw. Myovela
Mfwaisa na kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon John.
Afisa Habari wa Kampuni ya Sarafu
Media Bw. Myovela Mfwaisa (katikati) kushoto akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa filamu fupi ya Kisogo mapema hii
leo jijini Dar es Salaam, kushoto Msanii wa filamu hiyo Bw. Salim Ahmed maarufu
Gabo Zigamba na kulia ni Mtaalam wa TEHAMA toka Kampuni ya Uhondo Bw. Amon
John.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakifuatilia filamu fupi ya Kisogo wakati ikizinduliwa na msanii wa filamu hiyo
Salim Ahmed maarufu Gabo Zigamba.
Picha zote na Eliphace Marwa - Maelezo





0 Comments