Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga akitia saini katika kitabu
cha wageni mara baada ya kuwasili Makazi ya kulea wazee ya Njiro hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akizungumza na Afisa
Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea
wazee ya Njiro Bibi Ndeta Tenga (kushoto) wakati alipotembelea katika makazi
hayo hivi karibuni.
Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro Bibi
Ndeta Tenga (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo
ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kulia) wakati Katibu Mkuu
huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Afisa Mfawidhi wa Kituo cha Makazi ya kulea
wazee ya Njiro Bibi Ndeta Tenga (katikati) akimuonesha mazingira ya kituo hicho
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na
Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba
Nkinga(kushoto) wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi
karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto(Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga akisalimiana na wazee mbalimbali
waishio katika Kituo cha Makazi ya kulea wazee ya Njiro wakati alipotembelea
katika makazi hayo hivi karibuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo yaJamii) Bi. Sihaba Nkinga(kushoto) akisalimiana na na Mwenyekiti wa wazee waishio katika Makazi ya kulea wazee ya Njiro yaliyopo Moshi Mkoani kilimanjaro Bw.Nyasi Athanas wakati Katibu Mkuu huyo alipotembelea katika makazi hayo hivi karibuni.
Baadhi ya maeneo ya kituo cha Makazi ya kulea wazee cha Njiro yaliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Moshi,
Kilimanjaro.












0 Comments