Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 11 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili na Mlezi wa Taasisi ya Al- Hikima Foundation, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza katika kilele cha Mashindano ya 18 ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mufti na Sheikh Mkuu wa
Tanzania Sheikh Abubakr Zubeir bin Ally (kulia) na Sheikh Sharif
Abduqadir Mohamed Ahmed Al Ahdar ambaye ni Rais wa Taasisi ya Al -
Hikima Foundation na Mlezi Mwenza wa Taasisi hiyo , katika Mashindano
ya 18 ya Afrika ya Kuhifadhi Qur-an Tukufu yaliyofanyika kwenye uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam Juni 11, 2017







0 Comments