Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza
kikao cha hamsini na saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe,Selemani
Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30,
2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nne cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30,
2017.
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo
ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30,
2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe.Eng,Edwin Ngonyani akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini
na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.George
Simbachawene akijibu maswali mbalimbali
ya wabunge katika kikao cha hamsini na
saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe.Cosato Chumi
akiuliza swali katika kikao cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu
Kijaji akiteta jambo na Mbunge wa Karagwe Mhe.Innocent Bashungwa katika kikao
cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30,
2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Shally Raymond
akiuliza swali katika kikao cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe.Dk Mary Mwanjelwa
akiuliza swali katika kikao cha hamsini na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la
11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Mbunge wa
Bububu Mhe.Mwantakaje Juma akiuliza swali katika kikao cha hamsini na saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Washindi wa Medali za Dhahabu katika Mashindano
ya Kimataifa ya Mazingira na Sayansi yaliyofanyika nchini Marekani Kutoka
kushoto Ndg.Rashid Kikwete,Kassi Juma Nkamia na Abdallah Rubeya wakiwa bungeni
kujifunza shughuli balimbali za Bunge.
Waziri wa
Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akimsikiliza Mbunge wa Vunjo
Mhe.Eng.James Mbatia katika kikao cha hamsini
na saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 30, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

0 Comments