Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda
kufanya kikao na kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar.
IGP alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali
Mohamed Shein. Picha na Hassan Mndeme.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro (kushoto) akizungumza na maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi
alipofanya kikao na maafisa hao akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar kabla
ya kwenda kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Ali Mohamed Shein.
Kulia ni Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Hamdani makame. Picha na Hassan Mndeme.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akisalimiana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya zanzibar alipokwenda
kufanya kikao na kamati hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi visiwani Zanzibar.
IGP alikwenda pia kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar mheshimiwa, Dk Ali
Mohamed Shein. Picha na Hassan Mndeme.



0 Comments