Akabidhi kadi za bima za Afya kwa wanachama wa Mbeya press
club na kuwapongeza kwa uamuzi wa kujiunga na BIMA YA Afya
Asema kila binadamu ni mgonjwa mtarajiwa hivyo uamuzi wa
kujiunga na bima ni uamuzi mzuri kwani hakuna binadamu anayejua siku YA kuumwa
na kwa waandishi wanafanya kazi ktk mazingira magumu hivyo kuwa na bima YA afya
ni jambo muhimu
Amewataka na kuwakumbusha
wamiliki wa vyombo vya habari kuwakatia bima waandishi wao wa habari
Amewaomba waandishi wa habari kuandika habari za
kuwahamasisha wananchi kujiunga na bima YA Afya
Ktk hafla hiyo Mbeya press club wamempongeza Rais Dr John
Magufuli kwa kazi nzuri za kuwatetea wanyonge , kulinda na kutetea raslimali za
nchi
Mkuu wa Mkoa amepokea shukrani hizo na kuhaidi kuziwasilisha
kwa mheshimiwa Rais na kuwaomba Mbeya Press club kuendelea kumuunga mkono mheshimiwa Rais na kuyaandika
yote mazuri anayoyafanya Rais na
serikali yake




0 Comments