Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini wakati ikifunguliwa kwenye kabrasha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya kukabidhiwa Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumkabidhi Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini, Ikulu jijini Dar es Salaam.
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wananchi na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia kwa makini Ripoti ya pili ya Kamati ya Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Spika wa
Bunge Job Ndugai, Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu kiongozi
Balozi John Kijazi, Mwenyekiti wa kamati ya pili ya Madini Propfesa Nehemiah
Osoro pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo waliojumuika na viongozi wa Dini Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA
NA IKULU













0 Comments