Mchezaji Christian Ronaldo akiwaongoza wenzake kushangilia mara
baada ya kuifungia timu yake ya Real Madrid magoli mawili katika mchezo
huo mkali.
Christiano Ronaldo akishangilia na mchezaji mwenzake Sergia
Ramos mara baada ya kushinda mchezo wao na Juventus ya Italia na
kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-1 mjini Cardiff Uingereza.
Wachezaji wa timu ya Real Madrid wakishangilia na kombe lao mara
baada ya timu yao kufanikiwa kuchukua ubingwa wa UEFA Champions League
wakati walipoifunga timu ya Italia ya Juventus usiku wa kuamkia leo
Juni baada ya kushinda magoli 4-1 katika mchezo uliochezwa kwenye mji
wa Cardiff Wales nchini Uingereza.




0 Comments