Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akisalimiana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah
Benryane (kushoto) pale alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kulia)akizungumza jambo pale alipopata ugeni wa Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa
Abdelilah Benryane (kushoto) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akimsikiliza
Balozi wa Morocco nchini Tanzania, Mheshimiwa Abdelilah Benryane (kushoto) katika
kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisisitiza
jambo pale alipopata ugeni wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Ndg. Abdulrahman kinana
(kulia) katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akipiga picha ya pamoja na
katibu Mkuu wa CCM Taifa, Ndg. Abdulrahman kinana (kulia) pale alipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kushoto ni katibu wa Bunge, Dkt. Thomas
Kashililah.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Ndg. Abdulrahman kinana (kulia) pale
alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)





0 Comments