Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akipokea vitabu kutoka kwa Mwenyekiti wa Mtandao wa kuondoa umasikini, Ndg.
Mungwe Athman (katikati) kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio
lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Meneja wa Mtandao
huo Ndg. Peter Yobwa na Wageni wengine ni Wajumbe wa tume ya Utumishi wa Bunge
wakiongozwa na Mhe. Mussa Zungu(nyuma kulia)
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akisalimiana na Mwenyekiti wa Mtandao wa
kuondoa umasikini, Ndg. Mungwe Athman (kushoto)kabla ya Makabidhiano ya vitabu kwa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
, tukio lililofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
akizungumza baada ya makabidhiano ya vitabu kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Msaada
uliotolewa na Mtandao wa kuondoa umasikini, kulia kwake ni Mwenyekiti wa
Mtandao huo Ndg. Mungwe Athman, tukio hilo pia lililouzuliwa na Wajumbe wa tume
ya Utumishi wa Bunge katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akikata utepe ili aweze kufungua boksi
lenye vitabu alivyokabidhiwa na Mtandao wa kuondoa umasikini kwa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katikati ni Mwenyekiti wa Mtandao huo Ndg.
Mungwe Athman, wa pili kushoto ni Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa na
wengine ni Wajumbe Mbali mbali wa tume ya utumishi wa Bunge wakiongozwa na Mhe.
Mussa Zungu (nyuma kulia)
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akionyesha moja ya kitabu alichokabidhiwa na Mtandao wa kuondoa umasikini,
vitabu walivyokabidhi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kushoto ni
Mwenyekiti wa Mtandao huo Ndg. Mungwe Athman na kulia ni Mjumbe wa tume ya
Utumishi ya Bunge Mhe. Peter Msigwa, nyuma yake pia ni Wajumbe wa tume ya
utumishi wa Bunge ambao ni Mhe. Mussa Zungu na Mhe. Mary Chatanda.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)




0 Comments