Kipa Said Mohammed Nduda , akichupa kuzuia mpira wakati wa
mazoezi yanayosimamiwa na Kocha wa Makipa wa Taifa Stars, Patrick
Mwangata aliyepiga magoti katika mazoezi yanayofanyika Kituo cha michezo
cha Tolip (Tolip Sports City) hapa Alexandria, Misri.
Taifa Stars
inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inayozalishwa na Kampuni ya Bia ya
SBL, inajiandaa kucheza na Lesotho Juni 10, 2017 Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON)
za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon. Picha na Alfred Lucas wa TFF.
Kiungo wa pembeni wa Taifa Stars, Simon Msuva akiwa kwenye kasi
kuwahi mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Kituo cha
michezo cha Tolip (Tolip Sports City) hapa Alexandria, Misri. Taifa
Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti inayozalishwa na Kampuni ya Bia
ya SBL, inajiandaa kucheza na Lesotho Juni 10, 2017 Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika
(AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon. Picha na Alfred Lucas wa
TFF.
Libero wa Taifa Stars, Erasto Nyoni (katikati) akijitahidi
kudhibiti mpira mbele ya washambuliaji wenye njaa ya kufunga, Ibrahim
Ajib (kulia) na Abderheman Mussa kabla ya kipa Said Mohammed hajatokea
kusaidia wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika Kituo cha michezo
cha Tolip (Tolip Sports City) hapa Alexandria, Misri. Taifa Stars

0 Comments