Mkurungezi
Mtendaji na Muanzilishi wa IswapMyBooks.Com Shafiq Mpanja
akifafanua jambo kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Mtandao huo
unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza
kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana
katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam.
Meneja
Uendeshaji wa IswapMyBooks.com Viola
Massawe akifafanua taratibu za matumizi ya mtandao huo , wakati wa
uzinduzi wa Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu
mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo
zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni
jijini Dar Es Salaam.Mkurungezi Mtendaji wa Soma Book Cafe Demera Kitunga akielezea umuhimu wa kujisomea kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wakati wa uzinduzi wa Mtandao wa IswapMyBooks.com, Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam.
Mdau akichangia jambo wakati wa uzinduzi wa IswapMyBooks.com , Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam.
Mkurungezi Mtendaji wa Koncept Krantz Mwantepele (mwenye koti la suti) na wadau wa usomaji wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa mtandao wa IswapMyBooks.com , Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam.
Mkurungezi Mtendaji na Muanzilishi wa IswapMyBooks.com Shafiq Mpanja akiwa kapozi wa picha mara baada ya uzinduzi wa Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe iliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam.
Mkurungezi Mtendaji na Muanzilishi wa IswapMyBooks.com Shafiq Mpanja (wa kwanza kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadau waliofika kwenye uzinduzi wa Mtandao huo unaowezesha wasomaji wa vitabu kubadilishana vitabu mara tu wanapomaliza kuvisoma kwa njia ya mtandao huo.Hafla ya uzinduzi huo zilifanyika mapema jana katika makao makuu ya SOMA BOOK Cafe yaliyopo Mikocheni jijini Dar Es Salaam.








0 Comments