Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana,
na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe
Anthony Mavunde wakikagua karakana na baadhi ya kazi zinazofanywa na
Taasisi ya Don Bosco wanaotekeleza mradi wa Programu ya kitaifa ya
kukuza ujuzi wa nguvu kazi wa stadi za maisha ya Taifa kwa vijana,
Mkoani Iringa mpango ambao utawanufaisha vijana elfu tatu mianne 3,400
mpango unaogharamiwa na Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Mhe,
Dkt. John Pombe Magufuli.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana,
na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe
Anthony Mavunde wakikagua shughuli za taasisi hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana,
na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe
Anthony Mavunde wakikagua moja ya mashine katika taasisi hiyo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana,
na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe
Anthony Mavunde na Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Amina Masenza wakifurahia
jambo walipotembelea katika taasisi hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana,
na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe
Anthony Mavunde wakiwa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Iringa pamoja
na baadhi ya wafanyakazi wa taasisi hiyo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana,
na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe
Anthony Mavunde wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa taasisi
hiyo.

0 Comments