Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akionja unga wa ubuyu ambao ndiyo chakula maarufu cha jamii ya Wahadzabe.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo kuhusu nyumba maarufu za jamii ya Wahadzabe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akipewa maelezo ya matumizi ya mshale katika jamii ya Wahadzabe
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akichezewa ngoma maarufu ya jamii ya Wahadzabe ambayo huchezwa wakati wakimpokea Mgeni mwenye hadhi katika jamii.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jummane Maghembe akisaini kitabu cha Wageni mara alipowasilia katika kijiji cha Yaeda chini wilayani Mbulu mkoani Manyara.
Mkurugenzi
wa Rasilimali Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)Bw.
Zawadi Mbwambo (katikati) akisikiliza kwa makini risala iliyosomwa na
Wawakilishi wa Jamii ya Wahadzabe kwa Mgeni rasmi.








0 Comments