Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya akisisitiz ajambo kwa waandishi wa juu ya tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza kufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.
Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya akiwa katika mkutano na waandishi wa habari akizungumzia tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza kufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma.




0 Comments