Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu akiongoza Kikao cha 47 cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Suleimani Jafo akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano
wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe.
William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt
Medred Kalemani akijibu maswali mbalimbali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa
Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge wa Ileje (CCM) Mhe. Janeth Mbene
akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June
14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Viti Maalum (CCM) Mhe. Mwantumu Haji
akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June
14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Kyerwa (CCM) Mhe. Innocent Bilakwate
akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June
14, 2017 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt
Ashatu Kijaji akijibu swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la
11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Mdaba (CCM) Mhe. Joseph Mhagama
akiuliza swali i katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June
14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Tunduru Kusini (CCM) Mhe. Daimu Mpakate
akiuliza swali katika Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June
14, 2017 Mjini Dodoma.
Mbunge Viti Maalum (CCM) Mhe. Angelina
Malembeka akiuliza swali katika Kikao
cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.
Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Mbunge wa Buyungu Mhe.Kasuku Bilago katika
Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania wakati akiwasili Bungeni kuhudhulia Kikao cha 47 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Maliasili na
Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe katika Kikao
cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakifuatilia Kikao cha 47 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la
11 leo June 14, 2017 Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi MAELEZO Dodoma.



















0 Comments