Kaimu Kamishina wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira
Mushi(wa kulia) akieleza jambo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
(wa pili kushoto)wakati katibu Mkuu huyo alipofanya ziara maalum katika makazi
ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto mkoani Shinyanga kukagua maendeleo ya
ujenzi wa bweni jipya la wazee na mradi wa majiko ya kisasa yanayotumia nishati
ya gesi.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akiangalia maendeleo ya Ujenzi wa bweni litakalotumiwa na wazee wa Makazi ya Kulea
Wazee ya Kolandoto, Shinyanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akiangalia mitungi ya Gesi inayotumika katika majiko yaliyopo katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza
ya Kolandoto (Kulia) ni Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovela.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akipewa maelezo na Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Kulea Wazee wasiojiweza ya
Kolandoto jinsi ya kuwasha Jiko la Gesi lililopo katika makazi hayo.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akitoa maelekezo kwa watumishi wa Makazi ya Kulea wazee wasiojiweza wakati
alipotembelea kujionea mandeleo ya ujenzi wa bweni la wazee na mradi wa majiko
yanayotumia nishati ya gesi.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akizungumza na mmoja wa wazee katika Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya
Kolandoto mkoani Shinyanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akifurahia jambo na baadhi ya wazee katika Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya
Kolandoto, Shinyanga.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akiiangalia bajaji inayotarajiwa kukabidhiwa katika makazi ya kulea wazee
wasijiweza ya Kolandoto, Shinyanga.
Naibu Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Agnes
Machiya akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazee waishio katika makazi ya Kolandoto
Mzee Maganga wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia
Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba
Nkinga (hayupo pichani) alipotembelea makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto
kufuatilia maendeleo ya ujenzi wa bweni la wazee na mradi wa majiko yanayotumia
nishati ya gesi.
Kaimu kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabikira
Mushi akiendesha bajaji inayotarajiwa kukabidhiwa katika makazi ya kulea wazee
wasijiweza ya Kolandoto Shinyanga wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)
Bi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) alipotembelea makazi ya kulea wazee
wasiojiweza ya Kolandoto kujionea maendeleo ya ujenzi wa bweni la wazee na
mradi wa majiko yanayotumia Nishati ya Gesi.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto ( Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Wizara, Mkoa wa Shinyanga
na watumishi wa Makazi ya kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Shinyanga, muda
mfupi baada ya ukaguzi wa makazi hayo.
Picha na Erasto
Ching’oro WAMJW

0 Comments