Meneja Mawasiliana na Uhusiano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Tanzania (TCAA) Bestina Magutu (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali nchini, juu ya majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa Kimataifa walivyokaguliwa na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakati wa semina iliyofayika mkoani Morogoro .
Baadhi ya waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali nchini, wakifuatilia mada wakati wa semina iliyoandaliwa kwa ajili yao na Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania (TCAA) iliyo husu majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa Kimataifa walivyokaguliwa na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) semina hiyo iliyofayika mkoani Morogoro .
Mwanasheria Mwandamizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Maria Makalla (kushoto) akijibu swali kwa waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali nchini, mara baada ya kuwasilisha mada ya juu ya majukumu ya Mamlaka hiyo, pamoja na matokeo ya ukaguzi wa Kimataifa walivyokaguliwa na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakati wa semina iliyofayika mkoani Morogoro
Baadhi ya waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali waliohudhuria semina ya majukumu ya TCAA pamoja na matokeo ya ukaguzi wa Kimataifa walivyokaguliwa na Shirika la Usafiri wa Anga Duniani (ICAO) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa seimna hiyo iliyofayika mkoani Morogoro kwa kuandakiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).
0 Comments