Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpungia mkono
Mama mmoja mlemavu mkazi wa Buseresere mara baada ya kumaliza kuhutubia mamia
ya wakazi wa Katoro na Buseresere waliojitokeza pembezoni mwa barabara katika
eneo hilo kumsalimia wakati akielekea Chato Mkoani Geita jana jioni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Bwanga njia panda ya kuelekea Makao makuu ya Wilaya ya Chato jana jioni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Katoro na Buseresere mara baada ya kusimama wakati akielekea Chato mkoani
Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Geita mjini wakati akielekea Chato.
Wananchi
wa Geita waliokuwa na Shauku ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli wakiwa wamepanda juu ya magari pembezoni mwa barabara
ya Usagara-Sengerema-Geita jana jioni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mama
Rosemary Lucas ambaye alikuwa akiwasilisha kero yake ya kuvunjiwa nyumba
Sengerema mkoani Mwanza.
Mkuu
wa mkoa wa Mwanza John Mongela akichukua maelezo ya mama huyo Rosemary Lucas
aliyevunjiwa nyumba yake Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Kada wa zamani wa CHADEMA Hamis Tabasamu ambaye alikuwa akionesha Kadi yake
mpya ya CCM mara baada ya kuhamia. Kadi hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Mwanza katika Wilaya ya Sengerema.
PICHA
NA IKULU












0 Comments