Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiangalia ngoma za asili kutoka kikundi cha Bujora mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa Kona ya bwiru katika barabara ya Airport wakati akitokea
uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wakazi wa katikati ya jiji la Mwanza waliokusanyika kumpokea.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Karanga kutoka kwa
Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinunua Karanga kutoka kwa
Mmachinga anayefanya biashara katikati ya jiji la Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono wakazi wa katikati ya jiji la Mwanza wakati akielekea Uwanja
wa Nyamagana kuangalia mechi kati ya Buhongwa United na Timu ya Nyamwaga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono washabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United na Timu
ya Nyamwaga katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.

akiombewa sala na Viongozi mbalimbali wa dini kutoka Kanda ya ziwa mara baada
ya kuwasili mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapungia mkono washabiki waliohudhuria mechi kati ya Buhongwa United na Timu
ya Nyamwaga katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mpira pamoja na Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongela katika uwanja wa Nyamagana ambapo timu ya Buhongwa United ilikuwa ikicheza na Nyamwaga FC.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Wachezaji wa Buhongwa Fc mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana.

PICHA NA IKULU

0 Comments