Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais
mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Chato mkoani Geita. Rais
Mstaafu Mkapa katika siku ya kesho anatarajiwa kukabidhi nyumba 50 za watumishi
wa sekta ya Afya zilizojengwa na Taasisi ya (Mkapa Foundation) katika mikoa ya
Simiyu, Kagera na Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu
Yoshida mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita. Balozi huyo wa Japan katika
siku ya kesho anatarajiwa kukabidhi mtambo wa kukamua Mafuta ya Alizeti (Double
Refine) uliojengwa Chato mkoani Geita kwa Msaada wa Serikali ya Japan.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais
mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais
mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa pamoja na wageni mbalimbali
waliofika Chato kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazotarajiwa
kufanyika kesho.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita Josheph Kasheku Msukuma aliyefika
Chato pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Geita.
PICHA NA IKULU








0 Comments