Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), alipomtembelea jana Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akipokea ujumbe Maalum kutoka kwa Spika wa Bunge la Iran, uliowasilishwa leo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (kulia), katika tukio lililofanyika jana Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (katikati), katika kikao kilichofanyika jana Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Iran Ndg. Zuhura Ally
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments