Angalia Video ya Tamasha Hilo.
Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini akitoa burudani wakati wa tamasha la Castle Lite Unlocks limefanyika katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam Julai 23, 2017 ambapo kubwa zaidi ameshuhudiwa rapper Future kutoka Marekani na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini wakitumbuiza kwa mara ya kwanza hapa nchini.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
Rapper Future kutoka Marekani akitoa burudani.
Vanessa Mdee.
Mashabiki.
Diamond Platnumz akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kupanda jukwaani.
Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini akizungumza.
Navy Kenzo
Rapper Future kutoka Marekani akikabidhiwa zawadi ya picha.










0 Comments