Random Posts

Wataalam wa Usafiri wa Anga Wajengewa Uwezo Kuhusu Namna ya Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Usafiri wa Anga

 Mkurugenzi  Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Hamza S. Johari, Akitoa Mada Kuhusu Wajibu wa Mashirika ya Ndege kwa Abiria Kwa Washiriki wa Semina ya Siku Tatu Kuhusu Namna ya Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Usafiri wa Anga Nchini Iliyofanyika Morogoro, Kuanzia Julai 20, 2017
 Mkurugenzi Mkuu Mamlak aya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza S. Johari(Kulia) na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kudhibiti Masuala ya Ki- uchumi , Dan Malanga Wakihudhuria Semina Kuhusu  Namna ya Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Usafiri wa Anga Iliyofanyika Morogoro Mwezi July 2017.
 Washiriki wa Semina Kuhusu  Namna ya Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Usafiri wa Anga Wakifuatilia Mada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza S. Johari.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Watumiaji wa Usafiri wa Anga(TCAA-CCC) Elias Mwashiuya, Akiwasilisha Mada kwa Washiriki wa Semina ya Siku Tatu Kuhusu Namna ya Kushughulikia Malalamiko ya Watumiaji wa Usafiri wa Anga Iliyofanyika Morogoro Tangu Julai 20, 2017.

Post a Comment

0 Comments