Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao
cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4,
2017.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba
Kabudi akisoma maelezo kuhusu Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali wa
Mwaka 2017 kikao cha hamsini na tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Hamad Masauni
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Naibu Waziri akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angeline
Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mbunge wa Bukombe Mhe.Dotto Biteko akiuliza
swali katika kikao cha hamsini na tisa
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe.Salma Kikwete akiuliza swali
katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu
Nchemba katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mshindi wa Tuzo ya Stephen Thomas Award Bw.Samwel Edward Mwanyika mwenye ugonjwa wa Down Syndrome akionyesha tuzo yake
Bungeni baada ya kushinda tuzo hiyo ya Dunia nchini Uingereza kwa kupiga picha
inayovutia leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.Wengine ni Mama yake Bi.Sophia
Mshangama na Kaka yake Ndg Elias Mwanyika
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Walimu na wanafunzi kutoka Sekondari ya Nyangao
kutoka Mtama Mkoani Lindi wakiwa Bungeni kujifunza shughuli mbalimbali katika kikao
cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4,
2017.
Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dk Hussein Mwinyi akizungumza jambo na Mbunge
wa Viti Maalum Mhe.Martha Mlata katika kikao cha hamsini na tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA












0 Comments