Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) alipokuwa akizungumza
na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango,Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko
wa Hifadhi ya Jamii na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii katika kikao cha siku moja
kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,(kushoto) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Baadhi ya Wajumbe wa Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF
wakiwa katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na
Mipango,Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Hiafadhi ya Jamii
chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (kuklia) alipokuwa akisoama taarifa kwa niaba ya Bodi yake katika kikao
cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu,ambacho kilijumuisha Uongozi
wa Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii, chini ya Mwenyekiti wake Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
[Picha na Ikulu] 02/08/2017.



0 Comments