Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mipango Doto James (wakwanza kushoto)akisaini mkataba wa Makubaliano (Strategic
Assistance Agreement )na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini
USAID Andy Karas(katikati) kuhusu utoaji wa fedha hizo dola za kimarekani 224
zaidi ya Shilingi 450 tukio lililofanyika katika Ofisi za Hazina jijini Dar es
Salaam. Wakwanza kulia ni Kaimu Balozi wa Marekani hapa nchini Dkt. Inmi
Patterson akishuhudia
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto) akibadilishana
mkataba ya makubaliano (Strategic Assistance Agreement) na Mkurugenzi wa Shirika
la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas katika Ofisi za Hazina jijini
Dar es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James (wakwanza kushoto) akipiga makofi
pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Marekani nchini USAID Andy
Karas(katikati), na Kaimu Balozi wa
Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kusaini mkataba wa
makubaliano (Strategic Assistance Agreement ) katika ofisi za Hazina jijini Dar
es Salaam.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James akimshukuru Kaimu Balozi wa
Marekani hapa nchini Dkt. Inmi Patterson mara baada ya kusaini mkataba huo
utakaowezesha Tanzania kupatiwa fedha hizo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James akimshukuru Mkurugenzi wa Shirika
la Misaada la Marekani nchini USAID Andy Karas mara baada ya tukio hilo la
mkataba wa makubaliano katika Ofisi za Hazina jijini Dar es Salaam.
PICHA-na
Mpiga Picha Wetu





0 Comments