Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama
pamoja na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati wa nyimbo za
mataifa mawili zikipigwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere(JNIA). Rais huyo wa Misri ameondoka mara baada ya kumaliza ziara yake
ya siku mbili hapa nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni
wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati akielekea kupanda ndege mara
baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili hapa nchini
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa
Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili
nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza nyimbo za
kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Misri
Abdel Fattah Al Sisi ambaye ameondoka mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku
mbili nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mbunge na Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Japan Ichiro Aisawa aliyefika
Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na Mbunge na Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Japan Ichiro Aisawa Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mbunge
na Waziri wa zamani wa Mambo ya nje wa Japan Ichiro Aisawa mara baada ya
kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU














0 Comments