Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akichukua Tiketi
zake pamoja na chenchi mara baada ya kulipia huduma ya Kivuko wakati akielekea
katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
pamoja na kuzungumza na abiria mbalimbali wakati akisubiri kuvuka kwa kutumia
usafiri wa Pantoni kuelekea katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza
Yusuph Ndemango ambaye ni mlemavu wakati alipomkuta ndani ya jengo la abiria
lililopo upande wa Magogoni kabla ya kuvuka na Pantoni kuelekea katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam.
![]() |
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiingia
katika kivuko cha MV Kigamboni pamoja na abiria wengine wakati akivuka kuelekea upande wa pili wa
Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya
Kivuko cha MV Kigamboni pamoja na abiria wengine wakati akivuka kuelekea upande
wa pili wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
upande wa Kigamboni mara baada ya kushuka pamoja na abiria wengine kwenye
pantoni la MV Kigamboni.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Mama mmoja mara baada ya kuvuka upande wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akinunua
chapati mara baada ya kuvuka upande wa Kigamboni wakati wa asubuhi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia
wakazi wa Kigamboni mara baada ya kuvuka kwa kutumia usafiri wa Pantoni wakati
katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Minazini Kigamboni jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akiimba pamoja na wanachama wa CCM waliopo katika kambi ya mafunzo ya
vijana iliyoandaliwa na Umoja wa vijana wa vyuo na Vyuo vikuu(CCM) katika Chuo
cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Wanachama
hao wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa CCM Taifa kuwasili ukumbini hapo.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wanachama wa CCM waliopo katika kambi ya mafunzo ya
vijana iliyoandaliwa na Umoja wa vijana wa vyuo na Vyuo vikuu(CCM) katika
ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
PICHA NA
IKULU



















0 Comments