Random Posts

TCAA Yashiriki Maonesho ya Nane Nane Lindi 2017

 Afisa muongoza ndege Mwanadamizi(kulia) Godlove Longole na Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Bestina Magutu wakitoa elimu kwa wakinamama waliotembelea Banda la TCAA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
 Afisa Muongoza Ndege Mwanadamizi(kulia) Godlove Longole na Afisa Habari Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Bestina Magutu Wakitoa Elimu kwa Watoto Waliotembelea Banda la TCAA Katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Afisa Muongoza Ndege Mwanadamizi, Godlove Longole  Akitoa Elimu kwa Wanafunzi  Waliotembelea Banda la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Katika Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Afisa Habari Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Ally Changwila  akitoa elimu kwa Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi –Taarifa za Hali ya Hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA), Dkt Ladislaus Chang’a  aliyetembelea Banda la TCAA katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Timu ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Katika Maonyesho ya Nane nane 2017 katika viwanja vya Ngongo Lindi.

Post a Comment

0 Comments