Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia Wazee na Watoto (Idara kuu Maendeleo ya Jamii) Bibi Sihaba Nkinga
akizungumza na wadau wa Maendeleo ya jinsia wakati walipokutana kujadili
maboresho ya Sera ya Maendeleo ya jinsia
na Wanawake tukio liliofanyika ukumbi wa
Wizara iliyoko UDOM Dodoma, mkoani Dodoma tarehe 4.8.2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia Bw. Julius
Mbilinyi akifafanua jambo kwa wadau wa
Maendeleo ya Jamii wakati walipokutana kujadili Sera ya Maendeleo ya Jinsia na Wanawake
Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Mtaalamu Mwelekezi Prof. Lina Mhando akiwasilisha
mada maalum katika kikao cha kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleoa ya
Wanawake na jinsia Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Kamisha Msaidizi Ustawi wa Jamii Bw. Twaha
Kibalula akichangia hoja katika kikao cha kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleoa ya Wanawake na
Jinsia Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Wa Watoto Bibi
Magreth Musai akichangia hoja katika kikao cha kujadili maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia
Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Afisa
Maendeleo ya jamii Wilaya ya Kongwa Bw. Stephen Mwendi(katikati) akiuliza swali
kwa Mtaalamu Mwelekezi Prof Lina Mhando kuhusu maboresho ya Sera ya Maendeleo ya
Wanawake na jinsia inayojadiliwa Mjini Dodoma leo Agosti 04,2017.
Mwakilishi kutoka Asasi isiyo ya kiserikali
ya FPCT Bi. Witness Sangali akichangia katika kikao cha maboresho ya Sera ya
Maendeleo ya Wanawake na Jinsia inayojadiliwa katika ukumbi wa Wizara UDOM,
mkoani Dodoma leo Agosti 04, 2017.
Baadhi ya wadau wa Maendeleo ya Jamii
wakifuatilia maoni ya washiriki kuhusu maboresho ya Sera ya Maendeleo ya Jinsia
na Wanawake inayojadiliwa katika ukumbi wa Wizara UDOM, Mjini Dodoma leo Agosti,
2017.
Picha na Erasto Ching,oro WAMJW.












0 Comments