Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe (kushoto) akieleza mikakati ya Serikali katika kutatua
changamoto za wasanii wa filamu nchini wakati alipokutana nao mapema hii
leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe wakati alipokutana nao ili
kujua changamoto zinazo ikabili tasnia ya filamu mapema hii leo jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison
Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa filamu
nchini mara baada ya kumaliza mkutano wao mapema hii leo jijini Dar es
Salaam.



0 Comments