Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwakaribisha wageni waliombatana na Balozi
wa Uhamasishaji masuala ya mimba na ndoa za utotoni Bi. Natalie Dormer wa
Shirika la Kimataifa la Plan hawapo pichani katika ukumbi wa mikutano wa Wizara
ya Afya leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Umma wa Shirika la
Kimataifa la Plan Bwana Mike Thiedke kushoto na Bi Gyowneth Wong Mkurugenzi
Mkazi wa Shirika la Plan Tanzania katikati pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa
watoto bwana Misani wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya ujumbe wa Mhe.
Waziri leo katika ukumbi wa Wizara ya Afya jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akimsikiliza kwa makini Balozi wa
Uhamasishaji masuala ya mimba na ndoa za utotoni Bi. Natalie Dormer wa Shirika
la Kimataifa la Plan katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya leo jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe waliombatana
na Balozi wa Uhamasishaji masuala ya mimba na ndoa za utotoni Bi. Natalie
Dormer wa Shirika la Kimataifa la Plan.




0 Comments