Katika duka letu la
“TECNO SMART HUB” ni duka la suluhisho zote za simu za simu janja,vifaa vya
simu na huduma mbalimbali za kidigitali.
Pengine,cha
kusisimua zaidi ya yote, hili duka halitouza au kuonyesha bidhaa tu bali wateja
watapata fursa ya kufahamu kwa undani bidhaa na huduma zipatakinazo kwenye duka
hilo.
Wakati wa Uzinduzi
wateja walipata nafasi ya kushinda zawadi kama TV ya inchi 32, Feni
nakadhalika, pia walipata burudani kutoka kwa crew ya dwachezaji.
TECNO, kama kiongozi wa simu za mkononi, hutoa simu bora za
mkononi na huduma bora kwa watumiaji wa Tanzania, na katika TECNO SMART HUB,
unaweza kufurahia bora kwa maisha yako mwenyewe ya simu ya mkononi.
Jengo la China Plaza lililopo Kariakoo Jijini Dar es salaam, ni moja ya jengo linapo patikana duka jipya la Tecno, SMart Hub.



0 Comments