Madaktari
kwenye hospitali moja iliyo jimbo la magharibi mwa Inida ya Gujarat
wamefanikiwa kutoa meno saba kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja.
“Kwa sasa mtoto yuko sawa,” daktari ambaye alifanya upasuaji huo Meet Ramatri alisema.
Alisema kuwa upasuiji huo ulifanya kwa njia mbili. Kwanza walitoa meno manne, na baadaye matatu.
Meno ya mtoto huyo yaligundulwia
siku chache baada ya kuzaliwa huku Wazazi wake walimpeleka kwa daktari
wakati alipata matatizo ya kunyonya,
Baada ya
kumfanyia uchunguzi dakari aligundua nyama nyeupe na kumtuma kwa daktari
Ramatri”Wakati nilimfanyia uchunguzi aligundua meno saba,” Dr Ramatri
aliambia BBC.
Kisha alilazimika kutoa meno hayo
kwa njia ya upasuajia na Sasa mtoto huyo anaweza kunyonya,” dakatari
alisema, lakini aliongeza kuwa ni vigumu kujua ikiwa upasuaji huo
utatatiza ukuaji wa meno ya mtoto huyo siku za usoni
CHANZO:BBS SWAHILI


0 Comments