Msaidizi wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali Mkeremy akibidhi
Rambirambi(kwa niaba ya Mhe. Rais) kwa Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar
Zubeir ambaye amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry Ally ambaye amefariki
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Msaidizi
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali
Mkeremy akizungumza jambo na Mufti wa Tanzania Shekhe Aboubakar Zubeir ambaye
amefiwa na Kaka yake Shekhe Saad Zubeiry nyumbani kwa Marehemu Kinondoni Mtaa
wa Ufipa jijini Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano
ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu.
Msaidizi
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Kanali
Mkeremy akiagana na Shekhe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum mara
baada ya kuwasilisha Rambirambi kwa niaba ya Mhe. Rais katika msiba huo uliopo
Kinondoni mtaa wa Ufipa jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU




0 Comments