Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza
Madini ya Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya
Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi kutoka kwa Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Taarifa
hiyo kwa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimpa mkono Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mara
baada ya kumkabidhi Taarifa hiyo ambayo aliwakabidhi pia viongozi wote wa Vyombo
vya Ulinzi na Usalama.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipitia Taarifa ya
Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Almasi na Tanzanite mara baada
ya kukabidhiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara
baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya
Almasi na Tanzanite Ikulu jijini Dar es Salaam.
Shekhe
wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum akipiga makofi wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia
mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya Uchunguzi.
Wabunge
wa Kamati Maalum ya Uchunguzi wa Biashara ya Madini ya Almasi na Tanzanite nao
wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli alipokuwa akihutubia mara baada ya kukabidhiwa Taarifa hiyo ya
Uchunguzi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia
waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya
Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja
na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi
na Usalama Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya
Bunge iliyochunguza biashara ya Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia
waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya
Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja
na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo ya Uchunguzi wa Madini David Silinde Ikulu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU













0 Comments