Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na viongozi wengine wa Mkoa
wa Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani
Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar
es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda pamoja na viongozi
wengine mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Arusha.
PICHA NA IKULU




0 Comments