Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akimsikiliza Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh pale ugeni kutoka Vietnam
ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kwa lengo la kubadilishana
uzoefu wa kazi pamoja na kuboresha urafiki baina ya nchi hizi mbili.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)
akizungumza na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh pale ugeni
kutoka Vietnam ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kwa lengo la
kubadilishana uzoefu wa kazi pamoja na kuboresha urafiki baina ya nchi hizi
mbili.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)
akisalimiana na Balozi wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh pale ugeni
kutoka Vietnam ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akiwa
katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Vietnam
uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, kwa lengo la kubadilishana uzoefu
wa kazi pamoja na kuboresha urafiki baina ya nchi hizi mbili. Katikati ni Balozi
wa Vietnam nchini Tanzania, Nguyen Doanh na kushoto ni katibu wa Balozi huyo,
Ndg. Nguyen Binh.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)



0 Comments