Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili
kushoto) akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na Watumishi wa Bunge kilichofanyika
leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini Dodoma. kulia ni katibu wa Bunge, Dkt.
Thomas kashililah, Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Magdalena Sakaya
(wa pili kulia) na kushoto ni Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Mary
Chatanda
Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimsikiliza Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai (hayupo kwenye picha) wakati wa kikao cha pamoja cha Watumishi wa Bunge na Tume
ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)



0 Comments